The Bible Software
bible.softwareMathayoMathayo 12 › Mathayo 12:38

Mathayo 12:38

Kisha baadhi ya Mafarisayo na walimu wa sheria wakamwambia, “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then certain of the scribes and of the Pharisees answered, saying, Master, we would see a sign from thee.

In Context

37Kwa maana kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.” 1 Ishara Ya Yona (Marko 8:11-12; Luka 11:29-32)

39Lakini yeye akawajibu, “Kizazi kiovu na cha uzinzi kinaomba ishara! Lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ile ishara ya nabii Yona.

Read all of Mathayo 12

Cross References

Mark 8:11Mafarisayo wakaja, wakaanza kumhoji Yesu. Ili kumtega, wakamwomba awaonyeshe ishara kutoka mbinguni.

Luke 11:29Umati wa watu ulipokuwa unazidi kuongezeka, Yesu akaendelea kusema, “Hiki ni kizazi kiovu. Kinatafuta ishara, lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ile ya Yona.

John 4:48Yesu akamwambia, “Ninyi watu msipoona ishara na miujiza kamwe hamtaamini.”

1 Corinthians 1:22Wayahudi wanadai ishara za miujiza na Wayunani wanatafuta hekima.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 12:38

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 12:37Mathayo 12Mathayo 12:39 →