bible.software › Mathayo › Mathayo 12 › Mathayo 12:47
Mathayo 12:47
Ndipo mtu mmoja akamwambia, “Tazama, mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanataka kuongea na wewe.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then one said unto him, Behold, thy mother and thy brethren stand without, desiring to speak with thee.
In Context
46Wakati alikuwa angali anazungumza na makutano, mama yake na ndugu zake wakasimama nje wakitaka kuongea naye.
48Lakini yeye akamjibu na kumwambia yule mtu, “Mama yangu ni nani, nao ndugu zangu ni nani?”
Read all of Mathayo 12
This Verse In Other Editions
Study Mathayo 12:47