bible.software › Matthew › Matthew 13 › Matthew 13:29
Matthew 13:29
“Lakini akasema, ‘Hapana, msiyangʼoe, kwa maana wakati mkingʼoa magugu mnaweza mkangʼoa na ngano pamoja nayo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But he said, Nay; lest while ye gather up the tares, ye root up also the wheat with them.
In Context
28“Akawajibu, ‘Adui ndiye alifanya jambo hili.’ “Wale watumishi wakamuuliza, ‘Je, unataka twende tukayangʼoe?’
30Acheni ngano na magugu vikue vyote pamoja mpaka wakati wa mavuno. Wakati huo nitawaambia wavunaji wayakusanye magugu kwanza, wayafunge matita matita ili yachomwe moto; kisha wakusanye ngano na kuileta ghalani mwangu.’ ” 1 Mfano Wa Mbegu Ya Haradali (Marko 4:30-32; Luka 13:18-19)
Read all of Matthew 13
This Verse In Other Editions
Study Matthew 13:29