Matthew 13:43
Ndipo wenye haki watangʼaa kama jua katika Ufalme wa Baba yao. Yeye aliye na masikio, na asikie. 1 Mfano Wa Hazina Iliyofichwa Na Lulu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
42Nao watawatupa katika tanuru la moto ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Cross References
Exodus 34:35waliona kuwa uso wake unangʼaa. Kisha Mose angeliweka tena utaji juu ya uso wake mpaka alipokwenda kuzungumza na Bwana.
Matthew 11:15Yeye aliye na masikio, na asikie.
Matthew 25:36nilikuwa uchi mkanivika, nilikuwa mgonjwa mkanitunza, nami nilikuwa kifungoni mkaja kunitembelea.’
Luke 12:32“Msiogope enyi kundi dogo, kwa maana Baba yenu ameona vyema kuwapa ninyi Ufalme.
1 Corinthians 15:41Jua lina fahari ya aina moja, mwezi nao una fahari yake na nyota pia, nazo nyota hutofautiana katika fahari.
James 2:5Ndugu zangu, sikilizeni: Je, Mungu hakuwachagua wale walio maskini machoni pa ulimwengu kuwa matajiri katika imani na kuurithi Ufalme aliowaahidi wale wampendao?