Matthew 13:45
“Tena, Ufalme wa Mbinguni unafanana na mfanyabiashara aliyekuwa akitafuta lulu safi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Again, the kingdom of heaven is like unto a merchant man, seeking goodly pearls:
In Context
Cross References
Psalms 4:6Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye 2 kutuonyesha jema lolote?” 2 Ee Bwana, tuangazie nuru ya uso wako. 1
Proverbs 3:13Heri mtu yule aonaye hekima, 2 mtu yule apataye ufahamu, 1
Proverbs 8:18Utajiri na heshima viko kwangu, 2 utajiri udumuo na mafanikio. 1
Ecclesiastes 12:8Mhubiri asema, “Ubatili! Ubatili! 2 Kila kitu ni ubatili!” 1 Hitimisho La Mambo
Matthew 13:24Yesu akawaambia mfano mwingine, akasema: “Ufalme wa Mbinguni unaweza kufananishwa na mtu aliyepanda mbegu nzuri katika shamba lake.
Matthew 22:5“Lakini hawakuzingatia, wakaenda zao: huyu shambani mwake na mwingine kwenye biashara zake.