Matthew 13:5
Nyingine zilianguka kwenye ardhi yenye mwamba isiyo na udongo wa kutosha. Zikaota haraka, kwa kuwa udongo ulikuwa haba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Alipokuwa akitawanya mbegu, nyingine zilianguka kando ya njia, nao ndege wakaja na kuzila.
6Lakini jua lilipozidi, mimea ikanyauka na kukauka kwa kuwa mizizi yake haikuwa na kina.
Cross References
Ezekiel 11:19Nitawapa moyo mmoja na kuweka roho mpya ndani yao, nitaondoa kutoka ndani yao moyo wa jiwe na kuwapa moyo wa nyama.
Amos 6:12Je, farasi waweza kukimbia kwenye miamba mikali? 2 Je, aweza mtu kulima huko kwa maksai? 1 Lakini mmegeuza haki kuwa sumu 2 na matunda ya uadilifu kuwa uchungu: 1
Matthew 13:20Ile mbegu iliyopandwa kwenye sehemu yenye mawe ni mtu yule ambaye hulisikia neno na mara hulipokea kwa furaha.