The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 14 › Matthew 14:1

Matthew 14:1

Wakati huo, Mfalme Herode, mtawala wa Galilaya, alisikia habari za Yesu,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

At that time Herod the tetrarch heard of the fame of Jesus,

In Context

2akawaambia watumishi wake, “Huyu ni Yohana Mbatizaji; amefufuka kutoka kwa wafu! Hii ndiyo sababu nguvu za kutenda miujiza zinafanya kazi ndani yake.”

Read all of Matthew 14

Cross References

Mark 8:15Yesu akawaonya: “Jihadharini na chachu ya Mafarisayo na ya Herode.”

Luke 3:19Lakini Yohana alipomkemea Mfalme Herode kuhusu uhusiano wake na Herodia, mke wa ndugu yake, na maovu mengine aliyokuwa amefanya,

Luke 13:31Wakati huo huo baadhi ya Mafarisayo wakamwendea Yesu na kumwambia, “Ondoka hapa uende mahali pengine kwa maana Herode anataka kukuua.”

Luke 23:15Wala Herode hakumwona na kosa lolote, ndiyo sababu amemrudisha kwetu. Kama mnavyoona, mtu huyu hakufanya jambo lolote linalostahili kifo.

Acts 12:1Wakati huo huo Mfalme Herode Agripa aliwakamata baadhi ya watu wa kanisa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 14:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
Matthew 14Matthew 14:2 →