bible.software › Mathayo › Mathayo 14 › Mathayo 14:34
Mathayo 14:34
Walipokwisha kuvuka, wakafika nchi ya Genesareti.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when they were gone over, they came into the land of Gennesaret.
In Context
33Ndipo wote waliokuwa ndani ya ile mashua wakamwabudu Yesu, wakisema, “Hakika, wewe ndiwe Mwana wa Mungu.” 1 Yesu Awaponya Wagonjwa Genesareti (Marko 6:53-56)
35Watu wa eneo lile walipomtambua Yesu, walipeleka habari sehemu zote za jirani. Watu wakamletea wagonjwa wao wote,
Read all of Mathayo 14
Cross References
Luke 5:1Siku moja Yesu alipokuwa amesimama karibu na Ziwa la Genesareti, + 5:1 Yaani Bahari ya Galilaya. watu wengi wakiwa wanasongana kumzunguka ili wapate kusikia neno la Mungu,
This Verse In Other Editions
Study Mathayo 14:34