Mathayo 15:20
Haya ndiyo yamtiayo mtu unajisi; lakini kula bila kunawa mikono hakumtii mtu unajisi.” 1 Imani Ya Mwanamke Mkanaani (Marko 7:24-30)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
These are the things which defile a man: but to eat with unwashen hands defileth not a man.
In Context
21Yesu aliondoka mahali pale, akaenda sehemu za Tiro na Sidoni.
Cross References
Matthew 23:25“Ole wenu, walimu wa sheria na Mafarisayo, ninyi wanafiki! Kwa maana mnasafisha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa unyangʼanyi na kutokuwa na kiasi.
Luke 11:38Yule Farisayo akashangaa kwamba Yesu hakunawa kwanza kabla ya kula.
1 Corinthians 6:9Je, hamjui kwamba wasio haki hawataurithi Ufalme wa Mungu? Msidanganyike: Waasherati, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wahanithi, wala walawiti,
Ephesians 5:3Lakini uasherati, usitajwe miongoni mwenu, wala uchafu wa aina yoyote, wala tamaa, kwa sababu mambo haya hayastahili miongoni mwa watakatifu.
Revelation 21:27Lakini kitu kichafu hakitaingia humo kamwe, wala mtu yeyote atendaye mambo ya aibu au ya udanganyifu. Bali watakaoingia humo ni wale tu ambao majina yao yameandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo.