Mathayo 15:26
Yesu akajibu, “Si haki kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But he answered and said, It is not meet to take the children’s bread, and to cast it to dogs.
In Context
25Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Yesu, akasema, “Bwana, nisaidie!”
Cross References
Matthew 7:6“Msiwape mbwa vitu vilivyo vitakatifu; wala msitupie nguruwe lulu zenu. Kama mkifanya hivyo, watazikanyagakanyaga na kisha watawageukia na kuwararua vipande vipande. 1 Omba, Tafuta, Bisha (Luka 11:9-13)
Acts 22:21“Ndipo Bwana akaniambia, ‘Nenda, kwa maana nitakutuma mbali, kwa watu wa Mataifa.’ ” 1 Paulo Na Jemadari Wa Kirumi
Galatians 2:15“Sisi wenyewe ni Wayahudi kwa kuzaliwa na si watu wenye dhambi kama watu wa Mataifa,
Philippians 3:2Jihadharini na mbwa, wale watenda maovu, jihadharini na wale wajikatao miili yao, wasemao ili kuokoka ni lazima kutahiriwa.