Matthew 15:39
Baada ya kuaga ule umati wa watu, Yesu aliingia katika mashua, akaenda sehemu za Magadani. + 15:39 Magadani ni Magdala, mji wa Galilaya, kama kilomita 16 kusini mwa Kapernaumu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he sent away the multitude, and took ship, and came into the coasts of Magdala,
In Context
38Idadi ya watu walikuwa wanaume 4,000, bila kuhesabu wanawake na watoto.
Cross References
Matthew 14:22Mara Yesu akawaambia wanafunzi wake waingie kwenye mashua watangulie kwenda ngʼambo ya bahari, wakati yeye alikuwa akiwaaga wale makutano.