Matthew 16:12
Ndipo wakaelewa kwamba alikuwa hasemi juu ya chachu ya kutengeneza mikate, bali juu ya mafundisho ya Mafarisayo na Masadukayo. 1 Petro Amkiri Yesu Kuwa Ni Mwana Wa Mungu (Marko 8:27-30; Luka 9:18-21)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 5:20Kwa maana nawaambia, haki yenu isipozidi haki ya Mafarisayo na walimu wa sheria, kamwe hamtaingia katika Ufalme wa Mbinguni. 1 Kuhusu Hasira (Luka 12:57-59)
Matthew 23:13“Lakini ole wenu, walimu wa sheria na Mafarisayo, enyi wanafiki! Kwa maana mnawafungia watu milango ya Ufalme wa Mbinguni. Ninyi wenyewe hamuingii humo, nao wale wanaotaka kuingia mnawazuia. [