Mathayo 16:22
Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea akisema, “Haiwezekani, Bwana! Jambo hili kamwe halitakupata!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 16:16Simoni Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo, + 16:16 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Mwana wa Mungu aliye hai.”
Mark 8:32Aliyasema haya waziwazi, ndipo Petro akamchukua kando na akaanza kumkemea.
Acts 21:11Alipotufikia akachukua mshipi wa Paulo akajifunga, akautumia kufunga mikono na miguu yake mwenyewe akasema, “Roho Mtakatifu anasema: ‘Hivi ndivyo Wayahudi wa Yerusalemu watakavyomfunga mwenye mshipi huu na kumkabidhi kwa watu wa Mataifa.’ ”