Mathayo 16:9
Je, bado hamwelewi? Je, hamkumbuki ile mikate mitano iliyolisha watu 5,000 na idadi ya vikapu vingapi vya mabaki mlivyokusanya?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Au ile mikate saba iliyolisha watu 4,000 na idadi ya vikapu vingapi vya mabaki mlivyokusanya?
Cross References
Matthew 15:16Yesu akawauliza, “Je, bado ninyi hamfahamu?
Mark 7:18Akawajibu, “Je, hata nanyi hamwelewi? Je, hamfahamu kwamba kitu kimwingiacho mtu hakimtii unajisi?
Luke 24:25Yesu akawaambia, “Ninyi ni wajinga kiasi gani, nanyi ni wazito mioyoni mwenu kuamini mambo yote yaliyonenwa na manabii!
2 Thessalonians 2:5Je, hamkumbuki ya kwamba nilipokuwa pamoja nanyi niliwaambia mambo haya?