Mathayo 17:11
Yesu akawajibu, “Ni kweli, Eliya lazima aje kwanza, naye atatengeneza mambo yote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jesus answered and said unto them, Elias truly shall first come, and restore all things.
In Context
Cross References
Malachi 4:6Ataigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na mioyo ya watoto iwaelekee baba zao, la sivyo nitakuja na kuipiga nchi kwa laana.”
Luke 3:3Akaenda katika nchi yote kandokando ya Mto Yordani, akihubiri ubatizo wa toba kwa ajili ya msamaha wa dhambi.