Matthew 17:13
Ndipo wale wanafunzi wakaelewa kuwa alikuwa anazungumza nao habari za Yohana Mbatizaji. 1 Yesu Amponya Kijana Mwenye Pepo (Marko 9:14-29; Luka 9:37-43)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then the disciples understood that he spake unto them of John the Baptist.
In Context
14Walipofika penye umati wa watu, mtu mmoja akamjia Yesu na kupiga magoti mbele yake, akasema,
Cross References
Matthew 11:14Ikiwa mko tayari kukubali hilo, yeye ndiye yule Eliya ambaye manabii walikuwa wamesema angekuja.