Matthew 17:16
Nilimleta kwa wanafunzi wako, lakini hawakuweza kumponya.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I brought him to thy disciples, and they could not cure him.
In Context
Cross References
Matthew 17:19Kisha wanafunzi wakamwendea Yesu wakiwa peke yao, wakamuuliza, “Kwa nini sisi hatukuweza kumtoa?”
Acts 3:16Kwa imani katika jina la Yesu, huyu mtu mnayemwona na kumfahamu ametiwa nguvu. Ni kwa jina la Yesu na imani itokayo kwake ambayo imemponya kabisa huyu mtu, kama ninyi wote mnavyoona.