bible.software › Mathayo › Mathayo 17 › Mathayo 17:24
Mathayo 17:24
Baada ya Yesu na wanafunzi wake kufika Kapernaumu, wakusanya kodi ya Hekalu + 17:24 Kodi ya Hekalu ilikuwa didrachmas, yaani drakma mbili, ambazo ni sawa na nusu shekeli. wakamjia Petro na kumuuliza, “Je, Mwalimu wenu halipi kodi ya Hekalu?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when they were come to Capernaum, they that received tribute money came to Peter, and said, Doth not your master pay tribute?
In Context
23Nao watamuua, lakini siku ya tatu atafufuliwa.” Wanafunzi wakahuzunika sana. 1 Yesu Na Petro Watoa Kodi Ya Hekalu
25Petro akajibu, “Ndiyo, yeye hulipa.” Petro aliporudi nyumbani, Yesu akawa wa kwanza kulizungumzia, akamuuliza, “Unaonaje Simoni? Wafalme wa dunia hupokea ushuru na kodi kutoka kwa nani? Je, ni kutoka kwa watoto wao au kutoka kwa watu wengine?”
Read all of Mathayo 17
Cross References
Exodus 38:26Kila mtu alitoa beka moja, ambayo ni sawa na nusu shekeli ya fedha, kwa kazi ya mahali patakatifu, kutoka kwa kila mtu aliyekuwa amehesabiwa mwenye umri wa miaka ishirini au zaidi, ambao jumla yao walikuwa wanaume 603,550.
This Verse In Other Editions
Study Mathayo 17:24