Matthew 17:8
Walipoinua macho yao, hawakumwona mtu mwingine yeyote isipokuwa Yesu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when they had lifted up their eyes, they saw no man, save Jesus only.
In Context
7Lakini Yesu akaja na kuwagusa, akawaambia, “Inukeni na wala msiogope.”
Cross References
Luke 9:36Baada ya sauti hiyo kusema, walimkuta Yesu akiwa peke yake. Wale wanafunzi wakalihifadhi jambo hili, wala kwa wakati huo hawakumwambia mtu yeyote yale waliyokuwa wameyaona. 1 Kuponywa Kwa Kijana Mwenye Pepo Mchafu (Mathayo 17:1-8; Marko 9:2-8)