The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 18 › Matthew 18:3

Matthew 18:3

Naye akasema: “Amin, nawaambia, msipookoka na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika Ufalme wa Mbinguni.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And said, Verily I say unto you, Except ye be converted, and become as little children, ye shall not enter into the kingdom of heaven.

In Context

2Yesu akamwita mtoto mdogo na kumsimamisha katikati yao.

4Kwa hiyo mtu yeyote anyenyekeaye kama huyu mtoto, ndiye aliye mkuu kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni.

Read all of Matthew 18

Cross References

Psalms 131:2Lakini nimetuliza na kunyamazisha nafsi yangu; 2 kama mtoto aliyeachishwa kunyonya na mama yake, 1 kama mtoto aliyeachishwa kunyonya 2 ndivyo ilivyo nafsi iliyoko ndani yangu. 1

Matthew 5:18Kwa maana, amin nawaambia, mpaka mbingu na dunia zitakapopita, hakuna hata herufi moja ndogo wala nukta itakayopotea kwa namna yoyote kutoka kwenye Sheria, mpaka kila kitu kiwe kimetimia.

Matthew 6:2“Hivyo mnapowapa wahitaji, msipige panda mbele yenu kama wafanyavyo wanafiki katika masinagogi na mitaani, ili wasifiwe na watu. Amin nawaambia wao wamekwisha kupokea thawabu yao.

Matthew 6:16“Mnapofunga, msiwe wenye huzuni kama wafanyavyo wanafiki. Maana wao hukunja nyuso zao ili kuwaonyesha wengine kwamba wamefunga. Amin, amin nawaambia wao wamekwisha kupata thawabu yao kamilifu.

Matthew 19:14Yesu akasema, “Waacheni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana Ufalme wa Mbinguni ni wa wale walio kama hawa.”

Mark 4:12ili, 1 “ ‘daima waone lakini wasitambue, 2 daima wasikie lakini wasielewe; 1 wasije wakageuka, wakatubu na kusamehewa!’ ” 1 Yesu Afafanua Maana Ya Mfano Wa Mbegu (Mathayo 13:18-23; Luka 8:11-15)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 18:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 18:2Matthew 18Matthew 18:4 →