Mathayo 19:15
Naye akaweka mikono yake juu yao, na akaondoka huko. 1 Kijana Tajiri (Marko 10:17-31; Luka 18:18-30)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he laid his hands on them, and departed thence.
In Context
Cross References
Isaiah 40:11Huchunga kundi lake kama mchungaji wa mifugo: 2 Hukusanya wana-kondoo katika mikono yake 1 na kuwachukua karibu na moyo wake, 2 huwaongoza taratibu wale wanyonyeshao. 1
1 Corinthians 7:14Kwa maana huyo mume asiyeamini anatakaswa kupitia mkewe, naye mke asiyeamini anatakaswa kupitia mumewe anayeamini. Kama isingalikuwa hivyo watoto wenu wangalikuwa si safi, lakini ilivyo sasa wao ni watakatifu.