bible.software › Matthew › Matthew 2 › Matthew 2:17
Matthew 2:17
Ndipo lilipotimia neno lililonenwa na nabii Yeremia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then was fulfilled that which was spoken by Jeremy the prophet, saying,
In Context
16Herode alipongʼamua kwamba wale wataalamu wa nyota wamemshinda kwa akili, alikasirika sana, naye akatoa amri ya kuwaua watoto wote wa kiume wenye umri wa miaka miwili kurudi chini katika mji wa Bethlehemu na sehemu zote za jirani, kufuatana na ule muda alioambiwa na wale wataalamu wa nyota.
18“Sauti ilisikika huko Rama, 2 maombolezo na kilio kikubwa, 1 Raheli akilia kwa ajili ya wanawe, 2 akikataa kufarijiwa, 1 kwa sababu hawako tena.” 1 Kurudi Kutoka Misri
Read all of Matthew 2
This Verse In Other Editions
Study Matthew 2:17