Matthew 2:4
Herode akawaita pamoja viongozi wa makuhani na walimu wa sheria, akawauliza ni mahali gani ambapo Kristo + 2:4 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. angezaliwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Mfalme Herode aliposikia jambo hili aliingiwa na hofu sana pamoja na watu wote wa Yerusalemu.
5Nao wakamwambia, “Katika Bethlehemu ya Uyahudi, kwa maana hivyo ndivyo ilivyoandikwa na nabii: 1
Cross References
2 Chronicles 34:13wakawa wasimamizi wa vibarua na kuwaongoza wale waliofanya kila aina ya kazi. Baadhi ya Walawi walikuwa waandishi, maafisa na mabawabu. 1 Kitabu Cha Sheria Chapatikana (2 Wafalme 22:3-20)
2 Chronicles 36:14Zaidi ya hayo viongozi wote wa makuhani pamoja na watu wakazidi kukosa uaminifu zaidi na zaidi, wakafanya machukizo yote kama walivyofanya mataifa wakinajisi Hekalu la Bwana alilokuwa amelitakasa huko Yerusalemu. 1 Kuanguka Kwa Yerusalemu (2 Wafalme 25:1-21; Yeremia 52:3-11)
Ezra 7:11Hii ni nakala ya barua ambayo Mfalme Artashasta alikuwa amempa Ezra aliyekuwa kuhani na mwalimu, mtu aliyeelimika katika mambo yahusuyo maagizo na amri za Bwana kwa Israeli.
Nehemiah 12:7Salu, Amoki, Hilkia na Yedaya. Hawa walikuwa viongozi wa makuhani na wenzao wakati wa Yeshua.
Jeremiah 8:8“ ‘Mwawezaje kusema, “Sisi tuna busara 2 kwa sababu tunayo sheria ya Bwana,” 1 wakati ambapo kwa hakika kalamu ya uongo ya waandishi 2 imeandika kwa udanganyifu? 1
Matthew 7:29kwa sababu alifundisha kama yeye aliye na mamlaka, wala si kama walimu wao wa sheria.