The Bible Software
bible.softwareMathayoMathayo 20 › Mathayo 20:28

Mathayo 20:28

kama vile ambavyo Mwana wa Adamu hakuja ili kutumikiwa, bali kutumika na kuutoa uhai wake uwe fidia kwa ajili ya wengi.” 1 Yesu Awaponya Vipofu Wawili (Marko 10:46-52; Luka 18:35-43)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Even as the Son of man came not to be ministered unto, but to minister, and to give his life a ransom for many.

In Context

27naye anayetaka kuwa wa kwanza miongoni mwenu hana budi kuwa mtumwa wenu:

29Yesu na wanafunzi wake walipokuwa wakiondoka Yeriko, umati mkubwa wa watu ulimfuata.

Read all of Mathayo 20

Cross References

Numbers 7:15fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa;

Psalms 49:7Hakuna mwanadamu awaye yote 2 awezaye kuukomboa uhai wa mwingine, 2 au kumpa Mungu fidia kwa ajili yake. 1

Isaiah 53:8Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa. 2 Nani awezaye kueleza kuhusu kizazi chake? 1 Kwa maana alikatiliwa mbali na nchi ya walio hai, 2 alipigwa kwa ajili ya makosa ya watu wangu. 1

Daniel 9:24“Majuma sabini yameamriwa kwa ajili ya watu wako na kwa ajili ya mji wako mtakatifu, ili kumaliza makosa, kukomesha dhambi, kufanya upatanisho kwa ajili ya uovu, kuleta haki ya milele, kutia muhuri maono na unabii, na pia kumtia mafuta yeye aliye mtakatifu sana.

Matthew 26:28Hii ndiyo damu yangu ya Agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi.

Luke 22:27Kwani ni nani aliye mkuu? Ni yule aketiye mezani au ni yule ahudumuye? Si ni yule aliyekaa mezani? Lakini mimi niko miongoni mwenu kama yule ahudumuye.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 20:28

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 20:27Mathayo 20Mathayo 20:29 →