The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 21 › Matthew 21:27

Matthew 21:27

Kwa hiyo wakamjibu Yesu, “Sisi hatujui.” Naye akawaambia, “Wala mimi sitawaambia ni kwa mamlaka gani ninatenda mambo haya.” 1 Mfano Wa Wana Wawili

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And they answered Jesus, and said, We cannot tell. And he said unto them, Neither tell I you by what authority I do these things.

In Context

26Lakini tukisema, ‘Ulitoka kwa wanadamu,’ tunawaogopa hawa watu, maana wote wanamtambua Yohana kuwa ni nabii.”

28“Lakini mwaonaje? Mtu mmoja alikuwa na wana wawili. Akamwendea yule wa kwanza akamwambia, ‘Mwanangu, nenda ukafanye kazi kwenye shamba la mizabibu leo.’

Read all of Matthew 21

Cross References

Isaiah 28:9“Yeye anajaribu kumfundisha nani? 2 Yeye anamwelezea nani ujumbe wake? 1 Je, ni kwa watoto walioachishwa kunyonya? 2 Je, ni wale ambao ndipo tu wametolewa matitini? 1

Isaiah 42:19Ni nani aliye kipofu isipokuwa mtumishi wangu, 2 na kiziwi kama mjumbe ninayemtuma? 1 Ni nani aliye kipofu kama yeye aliyejitoa kwangu, 2 aliye kipofu kama mtumishi wa Bwana? 1

Jeremiah 8:7Hata korongo aliyeko angani 2 anayajua majira yake yaliyoamriwa, 1 nao njiwa, mbayuwayu na koikoi 2 hufuata majira yao ya kurudi. 1 Lakini watu wangu hawajui 2 Bwana anachotaka kwao. 1

Matthew 15:14Waacheni; wao ni viongozi vipofu, wanaoongoza vipofu. Kama kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, wote wawili watatumbukia shimoni.”

Matthew 23:16“Ole wenu, viongozi vipofu! Ninyi mwasema, ‘Mtu akiapa kwa Hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini mtu akiapa kwa dhahabu ya Hekalu, amefungwa kwa kiapo chake.’

John 9:30Yule mtu akawajibu, “Hili ni jambo la ajabu! Hamjui anakotoka, naye amenifungua macho yangu!

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 21:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 21:26Matthew 21Matthew 21:28 →