The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 22 › Matthew 22:3

Matthew 22:3

Akawatuma watumishi wake kuwaita wale waliokuwa wamealikwa karamuni, lakini wakakataa kuja.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And sent forth his servants to call them that were bidden to the wedding: and they would not come.

In Context

2“Ufalme wa Mbinguni unaweza kufananishwa na mfalme mmoja aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi.

4“Kisha akawatuma watumishi wengine akisema, ‘Waambieni wale walioalikwa kwamba nimeandaa chakula. Nimekwisha kuchinja mafahali wangu na vinono, karamu iko tayari. Karibuni kwa karamu ya arusi.’

Read all of Matthew 22

Cross References

1 Samuel 9:13Mara tu mwingiapo mjini, mtamkuta kabla hajapanda kwenda mahali pa juu kula. Watu hawataanza kula mpaka atakapofika kwa sababu ni lazima kwanza yeye abariki dhabihu, ndipo wale walioalikwa watakapokula. Pandeni sasa, mtamkuta kwa wakati huu.”

Psalms 81:10Mimi ni Bwana Mungu wako, 2 niliyekutoa nchi ya Misri. 1 Panua sana kinywa chako 2 nami nitakijaza. 1

Proverbs 9:1Hekima amejenga nyumba yake; 2 amechonga nguzo zake saba. 1

Isaiah 55:1“Njooni, ninyi nyote wenye kiu, 2 njooni kwenye maji; 1 nanyi ambao hamna fedha, 2 njooni, nunueni na mle! 1 Njooni, nunueni divai na maziwa 2 bila fedha na bila gharama. 1

Jeremiah 25:4Ingawa Bwana amewatuma watumishi wake wote hao manabii kwenu mara kwa mara, hamkusikiliza wala hamkujali.

Hosea 11:2Lakini kadiri nilivyomwita Israeli, 2 ndivyo walivyokwenda mbali nami. 1 Walitoa dhabihu kwa Mabaali 2 na kufukiza uvumba kwa vinyago. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 22:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 22:2Matthew 22Matthew 22:4 →