Matthew 22:33
Ule umati wa watu uliposikia hayo, ulishangaa sana kwa mafundisho yake. 1 Amri Kuu Kuliko Zote (Marko 12:28-34; Luka 10:25-28)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when the multitude heard this, they were astonished at his doctrine.
In Context
Cross References
Matthew 22:22Waliposikia hili, wakashangaa. Hivyo wakamwacha, wakaenda zao. 1 Ndoa Na Ufufuo (Marko 12:18-27; Luka 20:27-40)
Mark 12:17Ndipo Yesu akawaambia, “Mpeni Kaisari kilicho cha Kaisari, naye Mungu mpeni kilicho cha Mungu.” Nao wakamstaajabia sana. 1 Ndoa Wakati Wa Ufufuo (Mathayo 22:23-33; Luka 20:27-40)
Luke 4:22Wote waliokuwako wakamsifu na kuyastaajabia maneno yake yaliyojaa neema, wakaulizana, “Je, huyu si mwana wa Yosefu?”
John 7:46Wale walinzi wakajibu, “Kamwe hajanena mtu yeyote kama yeye anenavyo.”