The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 22 › Matthew 22:39

Matthew 22:39

Nayo ya pili ni kama hiyo, nayo ni hii: ‘Mpende jirani yako kama nafsi yako.’

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the second is like unto it, Thou shalt love thy neighbour as thyself.

In Context

38Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza.

40Amri hizi mbili ndizo msingi wa Sheria na Manabii.” 1 Swali Kuhusu Mwana Wa Daudi (Marko 12:35-37; Luka 20:41-44)

Read all of Matthew 22

Cross References

Matthew 19:19waheshimu baba yako na mama yako, na umpende jirani yako kama nafsi yako.”

Luke 10:27Akajibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote’; tena, ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.’ ”

Romans 15:2Kila mmoja wetu inampasa kumpendeza jirani yake kwa mambo mema, ili kumjenga katika imani.

Galatians 6:10Kwa hiyo, kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema, hasa wale wa jamaa ya waaminio. 1 Si Kutahiriwa Bali Kuwa Kiumbe Kipya

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 22:39

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 22:38Matthew 22Matthew 22:40 →