Matthew 23:32
Haya basi, kijazeni kipimo cha dhambi ya baba zenu!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Fill ye up then the measure of your fathers.
In Context
31Hivyo mnajishuhudia wenyewe kwamba ninyi ni wana wa wale waliowaua manabii.
33“Ninyi nyoka, ninyi uzao wa nyoka wenye sumu! Mtaiepukaje hukumu ya jehanamu?
Cross References
Numbers 32:14“Nanyi mko hapa, uzao wa wenye dhambi, mkisimamia mahali pa baba zenu na mkimfanya Bwana kuwakasirikia Waisraeli hata zaidi.
1 Thessalonians 2:16wakijitahidi kutuzuia tusizungumze na watu wa Mataifa ili kwamba wapate kuokolewa. Kwa njia hii wanazidi kujilundikia dhambi zao hadi kikomo. Lakini hatimaye ghadhabu ya Mungu imewafikia. 1 Paulo Atamani Kuwaona Wathesalonike