Mathayo 24:22
Kama siku hizo zisingefupishwa, hakuna hata mtu mmoja ambaye angeokoka. Lakini kwa ajili ya wateule, siku hizo zitafupizwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 6:13Hata kama sehemu ya kumi ya watu watabaki katika nchi, 2 itaharibiwa tena. 1 Lakini kama vile mvinje na mwaloni 2 ibakizavyo visiki inapokatwa, 2 ndivyo mbegu takatifu 2 itakavyokuwa kisiki katika nchi.”
Zechariah 13:8katika nchi yote,” asema Bwana, 2 “theluthi mbili watapigwa na kuangamia; 2 hata hivyo theluthi moja watabaki ndani yake. 1
Matthew 22:14“Kwa maana walioitwa ni wengi, lakini walioteuliwa ni wachache.” 1 Kulipa Kodi Kwa Kaisari (Marko 12:13-17; Luka 20:20-26)
Matthew 24:31Naye atawatuma malaika zake kwa sauti kuu ya tarumbeta, nao watawakusanya wateule wake kutoka pande zote nne za dunia, kutoka mwisho mmoja wa mbingu hadi mwisho mwingine.
Luke 18:7Je, Mungu hatawatendea haki wateule wake wanaomlilia usiku na mchana? Je, atakawia kuwasaidia?
Romans 11:25Ndugu zangu, ili msije mkajidai kuwa wenye hekima kuliko mlivyo, nataka mfahamu siri hii: Ugumu umewapata Israeli kwa sehemu hadi idadi ya watu wa Mataifa watakaoingia itimie.