Mathayo 24:29
“Mara baada ya dhiki ya siku zile, 1 “ ‘jua litatiwa giza, 2 nao mwezi hautatoa nuru yake; 1 nazo nyota zitaanguka kutoka angani, 2 na nguvu za anga zitatikisika.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 24:23Mwezi utatiwa haya, nalo jua litaaibishwa; 2 kwa maana Bwana Mwenye Nguvu Zote atawala 1 juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu, 2 tena mbele ya wazee wake kwa utukufu.
Jeremiah 4:23Niliitazama dunia, 2 nayo haikuwa na umbo tena ni tupu; 1 niliziangalia mbingu, 2 mianga ilikuwa imetoweka. 1
Daniel 7:11“Kisha nikaendelea kutazama kwa sababu ya yale maneno ya majivuno yaliyosemwa na ile pembe. Nikaendelea kuangalia mpaka yule mnyama alipouawa, na mwili wake ukaharibiwa na kutupwa katika ule moto uliowaka.
Joel 2:30Nami nitaonyesha maajabu katika mbingu 2 na duniani: 2 damu, moto na mawimbi ya moshi. 1
Amos 5:20Je, siku ya Bwana haitakuwa giza, na si nuru: 2 giza nene, bila mwonzi wa mwanga? 1
Zephaniah 1:14“Siku kubwa ya Bwana iko karibu: 2 iko karibu na inakuja haraka. 1 Sikilizeni! Kilio katika siku ya Bwana 2 kitakuwa kichungu, 2 hata shujaa atapiga kelele. 1