Mathayo 24:50
Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
49kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, na kula na kunywa pamoja na walevi.
Cross References
Matthew 24:42“Basi kesheni, kwa sababu hamjui ni siku gani atakapokuja Bwana wenu.
Revelation 3:3Kumbuka basi yale uliyoyapokea na kuyasikia, yatii na ukatubu. Lakini usipoamka, nitakuja kama mwizi wala hutajua saa nitakayokuja kwako.