Matthew 24:8
Haya yote yatakuwa ndio mwanzo wa utungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All these are the beginning of sorrows.
In Context
9“Ndipo mtasalitiwa, ili mteswe na kuuawa, nanyi mtachukiwa na mataifa yote kwa ajili yangu.
Cross References
Deuteronomy 28:59Bwana ataleta mapigo ya kutisha juu yako na kwa wazao wako, maafa makali na ya kudumu, magonjwa mazito na ya kudumu.
Isaiah 9:17Kwa hiyo Bwana hatawafurahia vijana, 2 wala hatawahurumia yatima na wajane, 1 kwa kuwa kila mmoja wao hamchi Mungu, nao ni waovu, 2 na kila kinywa kinanena upotovu. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1
Isaiah 10:4Hakutasalia kitu chochote, 2 isipokuwa kujikunyata miongoni mwa mateka, 2 au kuanguka miongoni mwa waliouawa. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1 Hukumu Ya Mungu Juu Ya Ashuru 1
1 Peter 4:17Kwa maana wakati umewadia wa hukumu kuanzia katika nyumba ya Mungu. Basi kama ikianzia kwetu sisi, mwisho wa hao wasiotii Injili ya Mungu utakuwaje?