Matthew 25:1
“Wakati huo, Ufalme wa Mbinguni utakuwa kama wanawali kumi waliochukua taa zao na kwenda kumlaki bwana arusi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Watano wao walikuwa wapumbavu na watano walikuwa wenye busara.
Cross References
Psalms 45:9Binti za wafalme ni miongoni mwa wanawake wako waheshimiwa; 2 kuume kwako yupo bibi arusi malkia aliyevaa dhahabu ya Ofiri. 1
Song of Solomon 1:3Manukato yako yananukia vizuri, 2 jina lako ni kama manukato yaliyomiminwa. 1 Ndiyo sababu wanawali wanakupenda! 1
Song of Solomon 5:16Kinywa chake chenyewe ni utamu, 2 kwa ujumla yeye ni wa kupendeza. 1 Huyu ndiye mpenzi wangu, huyu ndiye rafiki yangu, 2 ee binti za Yerusalemu.
Isaiah 54:5Kwa maana Muumba wako ndiye mume wako, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake, 1 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli ni Mkombozi wako, 2 yeye anaitwa Mungu wa dunia yote. 1
Daniel 2:44“Katika siku za wafalme hao, Mungu wa mbinguni atauweka ufalme ambao kamwe hautaangamizwa, wala hautaachiwa taifa jingine. Utaziponda zile falme zote na kuzikomesha, bali wenyewe utadumu milele.
Matthew 5:16Vivyo hivyo, nuru yenu iangaze mbele ya watu, ili wapate kuona matendo yenu mema wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni. 1 Kutimiza Sheria