Matthew 25:18
Lakini yule mtumishi aliyekuwa amepokea talanta moja, alikwenda akachimba shimo ardhini na kuificha ile fedha ya bwana wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But he that had received one went and digged in the earth, and hid his lord’s money.
In Context
17Yule aliyepewa talanta mbili akafanya vivyo hivyo, akapata nyingine mbili zaidi.
19“Baada ya muda mrefu, yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao.
Cross References
Proverbs 18:9Mtu aliye mlegevu katika kazi yake 2 ni ndugu na yule anayeharibu. 1
Haggai 1:2Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Hawa watu husema, ‘Wakati haujawadia wa kujenga nyumba ya Bwana.’ ”
Luke 19:20“Kisha akaja yule mtumishi mwingine, akasema, ‘Bwana, hii hapa fedha yako. Niliitunza vizuri kwenye kitambaa.
2 Peter 1:8Kwa maana haya yakiwa ndani yenu kwa wingi na kuzidi kuongezeka, yanawasaidia msikose bidii wala kutozaa matunda katika kumjua Bwana wetu Yesu Kristo.