Matthew 25:33
Atawaweka kondoo upande wake wa kuume, na mbuzi upande wake wa kushoto.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he shall set the sheep on his right hand, but the goats on the left.
In Context
32Mataifa yote watakusanyika mbele zake, naye atawatenga kama mchungaji anavyotenga kondoo na mbuzi.
Cross References
Genesis 48:17Yosefu alipoona baba yake akiweka mkono wa kuume juu ya kichwa cha Efraimu, hakupendezwa, kwa hiyo akauchukua mkono wa baba yake kutoka kichwa cha Efraimu na kuuweka juu ya kichwa cha Manase.
Psalms 79:13Ndipo sisi watu wako, kondoo wa malisho yako, 2 tutakusifu milele; 1 toka kizazi hadi kizazi 2 tutasimulia sifa zako.
Psalms 100:3Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu. 2 Yeye ndiye alituumba, sisi tu mali yake; 1 sisi tu watu wake, 2 kondoo wa malisho yake. 1
Mark 16:19Baada ya Bwana Yesu kusema nao, alichukuliwa juu mbinguni na kuketi mkono wa kuume wa Mungu.
John 21:15Walipokwisha kula, Yesu akamuuliza Simoni Petro, “Je, Simoni mwana wa Yohana, unanipenda kweli kuliko hawa?” Yeye akamjibu, “Ndiyo Bwana, wewe unajua ya kuwa ninakupenda.” Yesu akamwambia, “Lisha wana-kondoo wangu.”
Ephesians 1:20aliyoitumia katika Kristo alipomfufua kutoka kwa wafu, na akamketisha mkono wake wa kuume huko mbinguni,