Mathayo 26:16
Tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Yesu. 1 Yesu Ala Pasaka Pamoja Na Wanafunzi (Marko 14:12-21; Luka 22:7-23; Yohana 13:21-30)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And from that time he sought opportunity to betray him.
In Context
15na kuuliza, “Mtanipa nini nikimtia Yesu mikononi mwenu?” Wakamlipa vipande thelathini vya fedha.
Cross References
Luke 22:6Naye akakubali, akaanza kutafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Yesu kwao, wakati ambapo hakuna umati wa watu. 1 Maandalizi Ya Pasaka (Mathayo 26:17-25; Marko 14:12-21; Yohana 13:21-30)