Mathayo 26:3
Basi viongozi wa makuhani na wazee wa watu wakakusanyika katika jumba la utawala la kuhani mkuu, jina lake Kayafa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2“Kama mnavyojua, baada ya siku mbili itakuwa Pasaka, naye Mwana wa Adamu atasalitiwa ili asulubiwe.”
4Wakafanya shauri ili kumkamata Yesu kwa siri na kumuua.
Cross References
Psalms 56:6Wananifanyia hila, wanajificha, 2 wanatazama hatua zangu, 2 wakiwa na shauku ya kuutoa uhai wangu. 1
Psalms 94:20Je, kiti cha utawala wa udhalimu kitajiunga nawe, 2 ule utawala uletao taabu kutokana na sheria zake? 1
Jeremiah 17:27Lakini ikiwa hamtanitii mimi kwa kuitakasa Sabato na kwa kutochukua mzigo wowote mnapoingia katika malango ya Yerusalemu wakati wa Sabato, basi nitawasha moto usiozimika katika malango ya Yerusalemu utakaoteketeza ngome zake.’ ”
Matthew 21:45Viongozi wa Makuhani na Mafarisayo waliposikia mifano ya Yesu, walitambua kuwa alikuwa akiwasema wao.
Matthew 26:69Wakati huu Petro alikuwa amekaa nje uani. Mtumishi mmoja wa kike akamjia na kumwambia, “Wewe pia ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.”
Luke 3:2nao Anasi na Kayafa wakiwa makuhani wakuu, neno la Mungu likamjia Yohana, mwana wa Zekaria huko jangwani.