Mathayo 26:50
Yesu akamwambia, “Rafiki, fanya kile ulichokuja kufanya hapa.” Kisha wale watu wakasogea mbele, wakamkamata Yesu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
49Mara Yuda akamjia Yesu na kumsalimu, “Salamu, Rabi!” Akambusu.
Cross References
2 Samuel 16:17Absalomu akamuuliza Hushai, “Je, huu ndio upendo unaomwonyesha rafiki yako? Kwa nini hukufuatana na rafiki yako?”
Psalms 55:13Kumbe ni wewe, mwenzangu, 2 mshiriki na rafiki yangu wa karibu, 1
Matthew 22:12Mfalme akamuuliza, ‘Rafiki, uliingiaje humu bila vazi la arusi?’ Yule mtu hakuwa na la kusema.