Mathayo 26:66
Uamuzi wenu ni gani?” Wakajibu, “Anastahili kufa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
What think ye? They answered and said, He is guilty of death.
In Context
67Kisha wakamtemea mate usoni na wengine wakampiga ngumi. Wengine wakampiga makofi
Cross References
Psalms 109:20Haya na yawe malipo ya Bwana kwa washtaki wangu, 2 kwa wale wanaoninenea mabaya. 1
Acts 7:52Je, kuna nabii gani ambaye baba zenu hawakumtesa? Waliwaua wale waliotabiri habari za kuja kwake yule Mwenye Haki. Nanyi sasa mmekuwa wasaliti wake na wauaji.
James 5:6Mmewahukumu na kuwaua watu wenye haki, waliokuwa hawapingani nanyi. 1 Uvumilivu Katika Mateso