Matthew 27:13
Ndipo Pilato akamuuliza, “Je, husikii ni mambo mangapi wanayokushtaki nayo?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then said Pilate unto him, Hearest thou not how many things they witness against thee?
In Context
12Lakini viongozi wa makuhani na wazee walipomshtaki, hakujibu neno.
14Lakini Yesu hakumjibu hata kwa shtaka moja, kiasi kwamba mtawala alishangaa sana.
Cross References
John 18:35Pilato akamjibu, “Mimi si Myahudi, ama sivyo? Taifa lako mwenyewe na viongozi wa makuhani wamekukabidhi kwangu. Umefanya kosa gani?”