bible.software › Matthew › Matthew 27 › Matthew 27:28
Matthew 27:28
Wakamvua nguo zake na kumvika vazi la rangi nyekundu, kisha
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they stripped him, and put on him a scarlet robe.
In Context
27Kisha askari wa mtawala wakampeleka Yesu kwenye Praitorio + 27:27 Praitorio maana yake ni makao makuu ya mtawala, jumba la kifalme lililokuwa linakaliwa na Pontio Pilato huko Yerusalemu, palipokuwa na kiti cha hukumu. na wakakusanya kikosi kizima cha askari kumzunguka.
29wakasokota taji ya miiba, wakaiweka kichwani pake. Wakamwekea fimbo katika mkono wake wa kuume, na wakapiga magoti mbele zake na kumdhihaki, wakisema, “Salamu, mfalme wa Wayahudi!”
Read all of Matthew 27
Cross References
Mark 15:17Wakamvalisha Yesu joho la zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamvika kichwani.
John 19:2Askari wakasokota taji ya miiba, wakamvika Yesu kichwani. Wakamvalisha joho la zambarau.
This Verse In Other Editions
Study Matthew 27:28