Mathayo 27:37
Juu ya kichwa chake, kwenye msalaba, wakaandika shtaka lake hivi: Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And set up over his head his accusation written, THIS IS JESUS THE KING OF THE JEWS.
In Context
36Kisha wakaketi, wakamchunga.
Cross References
Luke 23:38Kwenye msalaba juu ya kichwa chake, kulikuwa na maandishi haya: Huyu ndiye Mfalme wa Wayahudi. Maandishi haya yalikuwa yameandikwa kwa lugha za Kiyunani, Kilatini na Kiebrania.