Matthew 27:39
Watu waliokuwa wakipita njiani wakamtukana huku wakitikisa vichwa vyao
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they that passed by reviled him, wagging their heads,
In Context
Cross References
Job 16:4Mimi pia ningeweza kuzungumza kama ninyi, 2 kama mngekuwa katika hali yangu; 1 ningeweza kutoa hotuba nzuri dhidi yenu, 2 na kuwatikisia ninyi kichwa changu. 1
Psalms 22:6Mimi ni mnyoo wala si mwanadamu, 2 wanaume wamenibeza, na watu wamenidharau. 1
Psalms 31:11Kwa sababu ya adui zangu wote, 2 nimedharauliwa kabisa na jirani zangu, 1 hata kwa rafiki zangu nimekuwa tisho, 2 wale wanionao barabarani hunikimbia. 1
Psalms 69:7Kwa maana nimestahimili dharau kwa ajili yako, 2 aibu imefunika uso wangu. 1
Psalms 109:2kwa maana watu waovu na wadanganyifu 2 wamefungua vinywa vyao dhidi yangu; 1 wasema dhidi yangu 2 kwa ndimi za udanganyifu. 1
Lamentations 1:12“Je, si kitu kwenu, ninyi nyote mpitao kando? 2 Angalieni kote mwone. 1 Je, kuna maumivu kama maumivu yangu 2 yale yaliyotiwa juu yangu, 1 yale Bwana aliyoyaleta juu yangu 2 katika siku ya hasira yake kali? 1