Mathayo 27:61
Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikuwepo mahali pale, wakiwa wameketi mkabala na kaburi. 1 Walinzi Pale Kaburini
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And there was Mary Magdalene, and the other Mary, sitting over against the sepulchre.
In Context
Cross References
Matthew 28:1Baada ya Sabato, alfajiri mapema siku ya kwanza ya juma, Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikwenda kulitazama kaburi.