Matthew 28:17
Walipomwona, wakamwabudu; lakini baadhi yao wakaona shaka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when they saw him, they worshipped him: but some doubted.
In Context
18Yesu akawajia na kusema, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
Cross References
Psalms 2:12Mbusu Mwana, asije akakasirika 2 nawe ukaangamizwa katika njia yako, 1 kwa maana hasira yake inaweza kuwaka ghafula. 2 Heri wote wanaomkimbilia.
Matthew 16:28Nawaambia kweli, baadhi yenu hapa hawataonja mauti kabla ya kumwona Mwana wa Adamu akija katika Ufalme wake.”
John 5:23ili wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba. Yeyote asiyemheshimu Mwana, hamheshimu Baba aliyemtuma.