Matthew 28:4
Wale walinzi wa kaburi walimwogopa sana, wakatetemeka hata wakawa kama wafu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And for fear of him the keepers did shake, and became as dead men.
In Context
3Sura ya huyo malaika ilikuwa kama umeme, na mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji.
Cross References
Psalms 48:6Kutetemeka kuliwashika huko, 2 maumivu kama ya mwanamke 2 mwenye utungu wa kuzaa. 1
Matthew 27:65Pilato akawaambia, “Ninyi mnao askari walinzi. Nendeni, liwekeeni ulinzi kadri mwezavyo.”
Acts 9:3Basi akiwa katika safari yake, alipokaribia Dameski, ghafula nuru kutoka mbinguni ikamwangaza kotekote.
Revelation 1:17Nilipomwona, nilianguka miguuni pake kama aliyekufa. Ndipo akauweka mkono wake wa kuume juu yangu na kusema: “Usiogope, Mimi ndiye wa Kwanza na wa Mwisho.