Matthew 3:10
Hata sasa shoka limeshawekwa tayari kwenye shina la kila mti, basi kila mti usiozaa matunda mazuri, hukatwa na kutupwa motoni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 23:7Yeyote agusaye miiba 2 hutumia chombo cha chuma 2 au mpini wa mkuki, 2 nayo huchomwa pale ilipo.” 1 Mashujaa Wa Daudi (1 Nyakati 11:10-41)
Psalms 80:15mche ulioupanda kwa mkono wako wa kuume, 1 mwana uliyemlea 2 kwa ajili yako mwenyewe. 1
Isaiah 5:2Alililima na kuondoa mawe 2 na akaliotesha mizabibu bora sana. 1 Akajenga mnara wa ulinzi ndani yake, 2 na kutengeneza shinikizo la kukamulia divai pia. 1 Kisha akatazamia kupata mazao ya zabibu nzuri, 2 lakini lilizaa matunda mabaya tu. 1
Isaiah 61:3na kuwapa mahitaji 2 wale wanaohuzunika katika Sayuni, 1 ili kuwapa taji ya uzuri badala ya majivu, 2 mafuta ya furaha badala ya maombolezo, 2 vazi la sifa badala ya roho ya kukata tamaa. 1 Nao wataitwa mialoni ya haki, 2 pando la Bwana, 2 ili kuonyesha utukufu wake. 1
Ezekiel 15:2“Mwanadamu, je, ni vipi mti wa mzabibu unaweza kuwa bora zaidi kuliko tawi la mti mwingine wowote ndani ya msitu?
Malachi 4:1“Hakika siku inakuja, itawaka kama tanuru. Wote wenye kiburi na kila mtenda mabaya watakuwa mabua makavu, na siku ile inayokuja itawawasha moto,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. “Hakuna mzizi wala tawi litakalosalia kwao.