Matthew 3:6
Nao wakaziungama dhambi zao, akawabatiza katika Mto Yordani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And were baptized of him in Jordan, confessing their sins.
In Context
5Watu walikuwa wakimwendea kutoka Yerusalemu, Uyahudi yote na nchi zote za kandokando ya Mto Yordani.
Cross References
Leviticus 16:21Aroni ataweka mikono yake miwili juu ya kichwa cha mbuzi aliye hai na kuungama juu yake uovu wote na uasi wa Waisraeli, yaani dhambi zao zote, ili kuziweka juu ya kichwa cha huyo mbuzi. Atamwachia huyo mbuzi akimbilie jangwani kwa uangalizi wa mtu aliyepewa wajibu huo.
Numbers 5:7na ni lazima atubu dhambi aliyoifanya. Ni lazima atoe malipo kamili kwa ajili ya kosa lake, aongeze sehemu ya tano juu ya malipo hayo na kutoa yote kwa mtu aliyemkosea.
Job 33:27Ndipo huja mbele za watu na kusema, 2 ‘Nilitenda dhambi na kupotosha kilichokuwa haki, 2 lakini sikuadhibiwa kama nilivyostahili. 1
Proverbs 28:13Yeye afichaye dhambi zake hatafanikiwa, 2 bali yeyote aziungamaye na kuziacha hupata rehema. 1
Daniel 9:4Nikamwomba Bwana Mungu wangu na kutubu: “Ee Bwana, Mungu mkuu na unayetisha, anayeshika agano lake la upendo kwao wanaompenda na kutii maagizo yake,
Matthew 3:13Kisha Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka Mto Yordani ili Yohana ambatize.