Matthew 5:4
Heri wale wanaohuzunika, 2 maana hao watafarijiwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Blessed are they that mourn: for they shall be comforted.
In Context
3“Heri walio maskini wa roho, 2 maana Ufalme wa Mbinguni ni wao. 1
5Heri walio wapole, 2 maana hao watairithi nchi. 1
Cross References
Psalms 13:1Mpaka lini, Ee Bwana? Je, utanisahau milele? 2 Utanificha uso wako mpaka lini? 1
Psalms 32:3Niliponyamaza, mifupa yangu ilichakaa 2 kwa kulia kwa maumivu makali mchana kutwa. 1
Psalms 69:29Mimi niko katika maumivu na dhiki; 2 Ee Mungu, wokovu wako na unihifadhi. 1
Psalms 126:5Wapandao kwa machozi 2 watavuna kwa nyimbo za shangwe. 1
Isaiah 25:8yeye atameza mauti milele. 1 Bwana Mwenyezi atafuta machozi katika nyuso zote; 2 ataondoa aibu ya watu wake duniani kote. 4 Bwana amesema hili. 1
Isaiah 35:10waliokombolewa na Bwana watarudi. 1 Wataingia Sayuni wakiimba; 2 furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao. 1 Watapata furaha na shangwe; 2 huzuni na majonzi vitakimbia.